![Baadae](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/1D/37/rBEezluM2sWAcggnAABn1YQRKaM941.jpg)
Baadae Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Baadae - Sheby Medicine
...
Na mwili wangu una ganzi
tulipofika mi siwezi
nisijeshikwa na maradhi
ya presha ndani ya moyo wangu
mengi umefanya inatosha
acha nivute pumzi iihhhhh
tabia yako yaniachaga hoi mama ahhh
mimi sio kama wale eti nilipize
tena nikufate wewe uniumize
namba yangu usiipigie iko bize
maana kila siku wewe ni wewe
unayenifanya nilie ehhhh
labda baadaye mhhhh
nipe muda nifikiri (baadaye)
uhhh ‘paka donda litapopona (baadaye)
ahhh sura yangu ndo utaiona ( baadaye)
ahh maana nimeshachoshwaga
I say kutwa kucha visa, mikasa n’tayaweza wapi
nami kwako nimegota dada
nje mzima ila ndani mauti
kuna mda mi nawaza au nikuache uende
maana nimewaka ila siwezi nahitaji muda wewe
baby
mimi sio kama wale eti nilipize
tena nikufate wewe uniumize
namba yangu usiipigie iko bize
maana kila siku wewe ni wewe
unayenifanya nilie ehhhh
labda baadaye mhhhh
nipe muda nifikiri (baadaye)
uhhh ‘paka donda litapopona (baadaye)
ahhh sura yangu ndo utaiona ( baadaye)
ahh maana nimeshachoshwaga
jana umenambia umekosa unarudia yale yale
umeshajua na maumivu unatonesha pale pale
maana kwenye mapenzi mwenzako mdhaifu
sio kama wale
nipe muda ehh baadaye
mi nikae nifikirie eehhhhh
Lyrics by Steven Godfrey