Panda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Panda - Didimas
...
intro
yes it's official didimas
yellow popo aah!
mi na sifu Jehovah hakuna ku ngoja,
usilete vihoja kazi ya bwana ndo mimi,
ninafanya eh hee! mi na sifu Jehovah hakuna ku ngoja,
usilete vihoja kazi ya bwana ndo mimi,
ninaafanya ah ah nimeshika yeye tangu,
zama Bado tu ni yeye anaitwa shama,
omwami wanje ndie Bado jireh.
atakupa baraka,atakupa neema atakupa kibali Kisha utafanya nini...!!
chorus:panda panda panda..me na
panda na yesu×2
tangu utotoni na fwata huyu yesu wee
mtu mzima kwa Imani na muimbia wee
amenifinyanga,akanigeuza,akanifanya
kiumbe kipya madhambi ka safisha
nimeshika yeye tangu zama Bado tu ni
yeye anaitwa shama omwami wanje ndie Bado jireh.
atakupa baraka atakupa neema atakupa
kibali Kisha uta fanya nini
chorus:panda panda panda panda eeh!
me na panda na yesu×2
cheza loketo loketo,cheza ndombolo ndombolo uwepo
wa shuka na kwake vitendo×2
ananidekeza sifa zote nampa baba
kaniita mi mwana moyoni mwangu na mpa namba,ananidekeza sifa zote na mpa baba kaniita me mwana na kwake loketo loketo eh
chorus :panda panda panda panda me
na panda na yesu ×2
END.............