
Nafunga Mwaka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nafunga Mwaka - Ibraah
...
oya chizi mmmmh
oya kama nmerogwa tena
oyaya oyaaa make
eeh ya duniani mengi yalonikuta mengiii
licha ya kuumizwa kote
mwenzenu nimependa tenaa eeee
kidudu mapenziiii
kinawatesa wengiii
nimepata rundo fungu langu
nimeona niseme mapemaaa
oyaa akiniacha nahuyuuuu
sijui itakuwaja (yallah /tobbah)
mwenzen namoyo wa woga
na anavyo nipa vimenikoroga
akinilia buyu sijui itakuwaje
(yallah tobbah)
mwenzenu namoyo wa woga
mtanikuta mzoga
kwa baby moyo nishawek bond
yasij yakaw ya zuch na mond
natak mapenz mubashara
yasiwe ka konde na kajalaa
yakiwa kushney babu jii
leo ukiniacha kesho sirudii
sitak mamb ya makusudi
matapish sirudii
chizi chiz nimerogwa teena
nifungwe kama mbawa
ukija dar daresalam acha ushambaa
(oyaaa wee
wanangu nafunga mwaka huh
tukutane mwakani
oyaa weee )*2