![Ewe Mola](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/1B/35/rBEehlt9GkOARN-9AACfskHpacg769.jpg)
Ewe Mola Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ewe Mola - Pascal Tokodi
...
Kwa upendo wa moyo wako umenibariki mikononi mwako mi nitanawiri, chochote utakacho nitakitimiza, wema wako wote mi nita lipiza aaaaaaakwa upendo wa moyo wako umeni inua, mbele ya adui wangu ukaniokoa, waminifu wako mi nadhamini, wema wako nitalipiza aaaaa
Chorus:Ewe mola niskize nina maneno machache, niruhusu niimbe nikikupa hii shukrani, kwa baraka ulo nipea ninasema tu ASANTE! Mchana na usiku mi nitakusifu... Machozi ya nidondoka nikijazwa na mafikra pale ulonitoa na mahali nimefika yote haya ni sababu ya uwezo wakobaba..... Wema wako wote nitalipiza..... Aaaaaa
CHORUS.......... Ewe Mola niskize nina maneno machache niruhusu niimbe nikikupa hii shukrani kwa baraka ulonipea ninasema tu asante... Mchana na usiku mi nitakusifu. Uuu.... Kwa baraka ulonipa, kwenye shida nilizopita, na mahali nimefika.. Ni ju yako... Kwa baraka ulonopa kwenye shida nilozopita na mahali nimefika