Dream Ya Mifuko Kushona(D.Y.M.K) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Mkono ni key ya ki Benzo ka sidai mina switch na pajero
Economy bad but mi sijali cause I always put food on the table
Na vile I'm feeling this week I might just take a flight to please me
I guess it's really that easy what I'm saying hizi dreams ni mingi
Dream za mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
See me around you know I'm enormous
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Kasi maganji walai kuna noma
Dream ya mifuko kushona
Vile nabonga najua nitaomoka
Ni kama kusema uta konda
Bila hiyo tizi hakuna kusonga
Na vile napiga hiyo mboka
Ka gari ya veve githa ni kusonga
Ni kama nasare mogoka
Stories za jaba niliacha kubonga
Let me switch it up little bit
Talk to the niggas on the other side of the piece
Little big boy with an attitude of a king
When I started out now I gotta finish that shit
I used to be in the belly of the beast
Guess I killed it now I walk around with the pieces
Tatted on my hand just in case that I miss it
Self love that's the only message that I'm preaching
Wacha nirudi kwa flow
Ya kwanza ju nimetoka 254
Stories za wizi na dooh
Ni mingi lakini that's where I call home
Producer alimanga hiyo dooh
Akisema kam kesho lakini ni jokes
Ka ni mbio napiganga 100
Wamanyala kando nikikuja perform
Guess I'm coming to the end now
Hope nime make sense when you hear that
Mambo ni mengi na watu ni wengi
In the end we all wanna be wealthy man
Guess I'm coming to the end now
Hope nime make sense niki sema
Mambo ni mengi na watu ni wengi
Nataka shida za ki baller man
Mkono ni key ya ki Benzo ka sidai mina switch na pajero
Economy bad but mi sijali cause I always put food on the table
Na vile I be feeling this week I might just take a flight to please me
I guess it's really that easy what I'm saying hizi dreams ni mingi
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
See me around you know I'm enormous
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Dream ya mifuko kushona
Ka si maganji walai kuna noma