Naskia Utam Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Naskia Utam - Bobby Mapesa & VBO MP
...
Hey mr Dj hii track ni tam weka replay
naskia utam tam toka kichwa hadi miguu
so tuparty nikama leo ni sikukuu
aah maaa sitaki kudance ma
nataka twende tukaskie utam ma
ni saa ngapi..hapa niwapi
vile we nimsouth chalii yako yukowapi
ahh..story gani hizo unaleta
ushaanza kuteta na siko kageta
tushafika utam inaskika cd zimepasuka keja inanuka
naamuka naweka ngoma za dreadlock bedrock round hii nihard rock
aah take it easy..si sabuni haikwishi
dance...