
Nishalewa ft. DK Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nishalewa - Ibraah
...
Instrument .......
Mhhhh!
Chinga on dis one dis one
is chinga Kenny
(shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
Aaah!
Oyaah oyaah wee
(oya oya oya)
Kama nimetoroka milembeee....
Dolime nishampendaa
kama nawakwaza nisameheni
mengine semeni kama pombe nyama agizeni
oyaah...
Nisameheni kama nawaboa nisameheni
oyaah....
Niacheni mtoto kachagua niacheni
Kunaa kwani kunanini? wewee
Leo nipo party oya pombe Monday to Sunday
oyaah oyaah wewee oyaah
Tunakunywaa tunakunywaa Nini? pombe
Leo nipo party Monday to Sunday
Oyaah weee
usinipande kichwani
Haso zetu hatufanani
Shida ya pombe za ukubwani
Acha mi sifa Athumani.
Usinipande kichwani unanipandisha maruani
wao waduka mi wamtumban oyaah
ntakupeleka mgombani
Nishalewa nishalewa
Nishalewa nishalewa
Instrument ........
instrument .......
Oyaah wee ..
Waiter waiter waiter leta nyingine & nyingine
Baki kama bambio Oooh!
kama pisikali tikisa kalio Ooh!
Usinikere mwenzio Ooh!
Sifagilii michezo ya fagio Ooh
Nenda kamwambie mwenzio Ooh
kamwadithie tukio Ooh
Shingapi chapati kwa bio Ooh
Nimwendo wa kucheza michez
Ya
Wakaka & wadada Ooh
Waiter waiter waiter leta nyingine & nyingine wee
(waiter waiter waiter leta nyingine & nyingine)
Kunaa kwani kunanini? wewee
Leo nipo party pombe Monday to Sunday
oyaah weee
Usinipande kichwani hasozetu hazifanani
Shida ya pombe za ukubwani
Acha mi sifa Athumani
Usinipande kichwani utanipandisha maruani
Kama we waduka mi wamtumbani
Ntakupeleka migombani
Oyaah Nishalewa nishalewa
Oyaah wee nishalewa nishalewa
Oyaah Nishalewa nishalewa
Oyaah weee Nishalewa nishalewa
* ***Oyaaaah!! ****
Konde Gang......
konde Gang ......
By: ezzord 62