
ONE DAY ft. Were mura Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Eehhh
Mhhhhh Yagaaaa
Icon
Eehhh
Oohhh
Monte zuma
Eeeehhhhh Oooohhhh
Oooohhh Ahhhhh
Eeeeehhh Ooohhhh
Ooohhh Ahhhhh
Nilipotoka Many kilometer
Safari ndefu Afu bado sijafika
Na sija choka
Naamini nitafika
Napigana vita
ila naamini nitashinda
Na Mungu baba
Ye ndo atanitoa Chini
Aiwezekani Iwe kila siku Nyinyi
Na siku nikikipata
Wata weka roho ya kWa nini
Si wanapenda Iwe kila siku Mimi
Japo usawa unakaba
Eeeh mungu
Haba hujaza kibaba amen
Japo usawa unakaba
Eeeh mungu
Haba hujaza kibaba amen
One day
One day
Mungu ata bless
Na mi nitaflex
One day
One day
One day
Mungu ata bless na mi nitaflex
Funika kombe mwana haramu apite
Mwenzako nalisaka tonge
Mpunga umwagike
Nisha force sana kukata tamaa
Mi labda nife
Mambo ya jana sio ya leo
Nipishe nipite
Afu mi na settle chocho kwa chocho
Fujo kila mida
Kwenye battle mi ni wa moto ( makida kida )
Kunipata sio kitoto poteza muda
Sio pesa kitumbo joto njoo na faida
Japo usawa unakaba
Eeeh mungu
Haba hujaza kibaba amen
Japo usawa unakaba
Eeeh mungu
Haba hujaza kibaba amen
One day
One day
Mungu ndo ata bless
Na mi nitaflex
One day
One day
One day
Mungu ata bless
Na mi nitaflexx
One day
Gach b