
Mama Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni Mbali nimetoka na ndomana napambana
Naongeza bidii kwa kila nachofanya
Maneno na husia wa mama
Zidi kupumzika pema yeh
Your boy is a fighter
Your boy is a warrior your boy is a winner
Your boy is a fighter
Your boy is a warrior your boy is a winner
Ulichinikataza siwezi fanya Maa
Just to make you proud
Umenifunza upendo kuishi na binadamu ni kazi lakini we uliweza
You the best gift that I've never had
Mama yangu
Nani kama mama uuyeh
Oot sydämmessäin
Oot lahjoista parhain
Uskon vain itsees
Oon sydämmessäs
Oot sydämmessäin
Oot lahjoista parhain
Uskon vain itsees
Oon sydämmessäs
Mwanao huku niliko niko fresh
Sina kes polis
Tena mama ondoa stress
I know you are watching from above
My mama I'm gonna make you proud
We ndo wangu
Zawadi kubwa niliopewa toka kwa Mungu
Mama yangu
No body better better than you
Moyo wako naomba wanangu wajekuwa nao
Upendo wako kwayote nasema Asante mama
Oot sydämmessäin
Oot lahjoista parhain
Uskon vain itsees
Oon sydämmessäs
Oot sydämmessäin
Oot lahjoista parhain
Uskon vain itsees
Oon sydämmessäs
Olet sydämmessäin
Kwavile ulivyonipenda
Wewe ni Zawadi
Mama
Weukondani ya moyo wangu
Olet sydämmessäin
Wewe ni Zawadi
Usko mama