
Utukufu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kwa utukufu wako najitoa kamilifu
Kwa utukufu wako najitoa kama dhabihu Iliyo kamilika mbele zako*4
Nataka niwe mahali ulipo*4
Mahali ulipo kuna uzima
Mahali ulipo kuna baraka
Mahali ulipo kuna uponyaji
Mahali ulipo kuna uwezaa
Nataka niwe mahali ulipo
Nataka
Kwa utukufu wako najitoa kamilifu
Kwa utukufu wako najitoa kama dhabihu Iliyo kamilika mbele zako*2
Nataka niwe mahali ulipo*4
Mahali ulipo ninasamehewa
Mahali ulipo kuna uwepo
Mahali ulipo kuna baraka
Mahali ulipo kuna uweza
Nataka niwe mahali ulipo
Nataka.......