Loading...

Download
  • Genre:Alternative
  • Year of Release:2024

Lyrics

Sio kwa ubaya - Chardtalent

...

Sikumuacha kwa ubaya

Hata kama ni wewe unaweza kudate na mtu akikasirika haogi?

Yani sio kwa ubaya aah

Hata kama ni wewe unaweza kudate na mtu anavaa kiatu namba 70?

Yani sio kwa ubaya

Hata kama ni wewe unaweza kudate na mtu akikasirika anarusha ngumi ukutani

Akilala anakoroma aah

Akilala anatoka maudenda aah

Ndomana nilimuacha

nilimwacha (Aibuu)

Ndomana nilimwacha

eeeeh ehhh Aweeeh

Ndomana nilimtema

Nilimtema (Aibu)

Ndomana nilimtema

eeeeh ehhh Aweeeh

Nandomana nilimuachaa

Nandomana nilimtema

Sasa wewe ni mtu gani unafanya vikao mwenywe (Mwenyewe)

Usiku kucha unaongea mwenyewe (Mwenyewe)

Mara nipakulie wali weka na marage changanya humo humo (Humo humo)

Eti weka na ukoko changanya njegele nitakula umo umo (umo umo)

Nandomana nilimuachaa

Nandomana nilimtema

Akilala anakoroma aah

Akilala anatoka maudenda aah

Ndomana nilimuacha

nilimwacha (Aibuu)

Ndomana nilimwacha

eeeeh ehhh Aweeeh

Ndomana nilimtema

Nilimtema (Aibu)

Ndomana nilimtema

eeeeh ehhh Aweeeh

Aibuuuu

Eeh eeh Aweeeh

Aibuuuu

Eeh eeh Aweeeh

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status