![nazizika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/25/ea7f75f02324446e8fd5778c9097ee19H3000W3000_464_464.jpg)
nazizika Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
I see him walkin through your door
Na kenye mnafanya baby mi najijazia
Nasema mi sijali like I dont give a damn
Lakini mbona basi kila saa nachungulia
Ooh mara nikae oh mara nisimame
Ama nibishe hodi kama fala nijifanye
Nacheka kama chizi kumbe ndani mi nalia
Navumilia ju adi siwezi kumwambia vile
Mi nakutaka nadai kuwa na we
Sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda...na mi najua
Ni wee chochote utataka nitakupa
Nobody nobody knows
Siri zangu bado nazificha
Nobody nobody knows
Ju bado nazizika
Ok ni sawa ok ni sawa najiblame
Sazingine ni mimi ndo nashindwa what to say
Ndo maana najificha ukiniona najificha
Ju sitaki niaibike
Najua mi nasleki niongoje
Nivile hii mapenzi Ina wenyewe
Nivile mi tu mgeni
Ndo maana sisemi
Mi nakutaka nadai kuwa na we
Sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda...na mi najua
Ni we chochote utataka nitakupa
Nobody nobody knows
Siri zangu bado nazificha
Nobody nobody knows
Ju bado nazizika
Bado nazizika
Mi nakutaka nadai kuwa na we
Sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda...na mi najua
Ni we chochote utataka nitakupa
Nobody nobody knows
Siri zangu bado nazificha
Nobody nobody knows
Ju bado nazizika