
Siku Utawina Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nina jua kinacho wasumbua
Bila pesa inaomba kuji jua
Kuishi bila pesa
Kila mtu anaku onea
Wana ku zarau
Sababu hauna pesa
Kuishi bila pesa
Kila mtu anaku onea
Wana ku zarau
Sababu hauna pesa
Heshima zita kuja
Siku uta winner
Wasio ku heshimu
Wata ku heshimu
Heshima zita kuja
Siku uta winner
Wasio ku heshimu
Wata ku heshimu
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah
Siku uta winner
Wata kuona wa maana
Kwenye jamii
Wata kupendaga sana
Uta toaga neno la mwisho
Kwenye kikao
Uta mupata mke wako wa ndoto
Uta safiri dunia nzima
Siku uta winner
Heshima zita kuja
Siku uta winner
Wasio ku heshimu
Wata ku heshimu
Heshima zita kuja
Siku uta winner
Wasio ku heshimu
Wata ku heshimu
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah
Ah ah ah ah aaah