![I'll be there](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/18/F0/rBEezltgTqSADR73AACUstR5XMc620.jpg)
I'll be there Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
I'll be there - Arrow Bwoy
...
uuuuuh
yeeeh
aaaah
the call mi arrow boy
oooohuuuu
aaaaa
vicky pon this
mmmmmh
verse 1
Ni muda mrefu sijakuona natamani ndani ya roho yangu penzi na umwa
wasi wasi wanipanda maswali ya clinic najiuliza kaa uko fine
japo niko mbali sana ,nina imani penzi utanitunzia
ni kwa harakati za kusaka sijakadanganywa ,kesho ukanikimbia
i know u miss me ,miss me natambua
u will get it everyday
good loving loving
i will hold you in ma harms oooh
al do it everytime
chorus
ukiwa umenimiss picha yangu juu
ukiwa umenihata roho kaza ngumu
am on the mission al be coming soon
i will be there
ukiwa umenihata roho kaza ngumu
usije ukasaliti penzi letu uuuuuh
you missing my shoulder to lean on
i will be there aaa
n i will be there i will there de de
i will be there *3
verse 2
aaaaa
sisi sote tumeumbwa chini ya jua
anaepanga manani ya kesho uwezi jua
siwezi badili jua ingeuke mvua
tia imani tena uniombe dua
uku mi niliko sina ka holiday
i got my eyes set on a enemy
mwambie papa,mwambie mama
nisipofika nikiwa hai naomba wasiliee
rampapapa rampapapa
twenty one gun shots labda holiday
rampapapa rampapapa babiee
nasema i will be there
chorus
ukiwa uminimiss picha yangu juu
ukiwa umenihata roho kaza ngumu
am on the mission al be coming soon
i will be there
ukiwa umenihata roho kaza ngumu
usije ukasaliti penzi letu uuuuuh
you missing my shoulder to lean on
i will be there
n i will be there i will be there de de
i will be there *3
uuuuuuuh
oouuh
aaaa
verse 3
nakupnda mami sidanganyi
nitaleta matunda nikifika honey
nikuimbie ka wimbo darling
la la la la la la
nakupnda mami sidanganyi
nitaleta matunda nikifika babiee
nikuimbie ka wimbo darling
la la la la la la
aaaaai
vicky pon this
simba sound production