
IPO SIKU ft. Cool P & Slick Ninja Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Hivi mbona me nisilale
sababu ya binadamu
Mbona nisile nikonde
Maishani nikose tabasamu
Hivi mbona kwa mziki nichuje
Na vile nauona tamu
Kwenye industry naomba mnichunge
Nimekam vibaya wenzangu
Japo maneno neno yakukatisha tamaa
Wakunuliwaza nani I wish angekuwa mama(mama yangu mama aaah)mmh
Ninavyojua Siwezi furahisha wote
Wapo wanaoniombea nianguke wanicheke
Wasolijua dua zao haziendi popote
Mungu yukona nami
Kila siku mimi nabobea
Bila kujali kuhusu wanayonisemea
Kitu siwezi fanya mimi ni talanta kulalia aah (ni talanta kulalia)
Nina imani kwamba ipo siku moja tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Itafika wanishangae
Nina imani kwamba ipo siku moja tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Itafika wanishangae
Yeah, shule nilipata D Lakini sahii nina degree
Kumaanisha hakuna kitu siwezi if I wanna be
In other words Kama sikuweza at one point
Kuna siku itafika na mi ndio wataappoint(yes)
And I wanna be great
niomoke ikue hakuna Bill yaeza nifungia Gates
Si unang'am hiyo design ya kuelevate
Pandishwa cheo alafu njoo tu celebrate
(Yo) Tunapiga nduru wanaskia huko kelele
Juu Baraka zimejaa huku ni telele
Tucele tucele tucele tu tu celebrate
Alililililiiii together let's jubiliate
Zidi kukuwa true (be true)
Wee ng'ang'ana tu( push through)
We shall witness all our dreams coming true
Amini amini piga mboka na Sala
Na ipo siku, itajipa inshallah
Kila siku mimi nabobea
Bila kujali kuhusu wanayonisemea
Kitu siwezi fanya mimi ni talanta kulalia aah (ni talanta kulalia)
Nina imani kwamba ipo siku moja tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Itafika wanishangae
Nina imani kwamba ipo siku moja tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Nina imani ipo siku tu(siku)
Itafika wanishangae
I have a dream that one day ntakuwa star
Nitapendwa kwa kitaa nitang'aa nitapaa
Ndanithye mabro ma sister Mama na Papaa
Mafans wapende design ntawashikia Guitar