
Natamani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Nijue wema wako wee Kwamba unanijali wee Kwamba umenipenda buree ayaya aah Natamani Nifundishe tena Natamani nikumbushe wema Natamani nifundishe tenaa Natamani nikumbushe wemaa Nijue wema wako we Kwamba unanijali we Kwamba umenipenda bure ayayaaa Nijue wema wako wee Kwamba unanijali wee
Kwamba umenipenda bureeNatamaniii hiii
Moyo unapopitia majaribu Akili usahau Yakwamba ndiwe jana uliniondolea tabu nikafurahi Nikumbushe yakuwa kabla ya leo ilikuepo jana Ulinipa maziwa na asali nayo nikala aaah
Ili nisisahau ee kwa aya matatizo madogo Kwamba uliniketisha wee Mahali pa wakuu na vigogo
Ili nisisahau eehKwa aya matatizo madogo Kwamba uliniketisha wee eeh eehee Mahali pa wakuu na vigogo ooh
Natamani nifundishe tena Natamani nikumbushe wema
Natamani nifundishe tenaa
Natamani nikumbushe wemaa
Nijue wema wako we Kwamba unanijali we Kwamba umenipenda bure ayaya aaah
Upendo wako uko juu sana haupimiki Na jina lako liko juu baba hauelezeki Lini baba ulinipa jiwe nilipoomba mkate
Lini baba ulinipa nyoka nilipoomba samaki Lini baba ulinipa jiwe nilipoomba mkate Natamani nifundishe tena Natamani nikumbushe wema Natamani nifundishe tena Natamani nikumbushe wemaa Nijue wema wako wee Kwamba unanijali wee Kwamba umenipenda buree ayayaa aaah Mi nijue wema wako oooh ee eiyeee Hakuna kama wewe eeeeh aah aaah aaah aah Unanijali baba aaaah