Amina Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakukalia kidetete kidete
Kidetete kidete
Kalia kidete kidete
Kidetete kidete
Aminadooo aminadooo
Amina we ni chem chem ya love
Amina we sio dada du
Huna makeke oooh keke oooh
Amina highclass sio low
Wala hauna uchafu sio dampoo
Uko so romantic mteke oooh mteke ooh
Aminadooo aminadooo
Aminado amina mtoto mtam tam
Amina mtoto ni balaaa
Amina mtoto ni balaaa eeeh
Animadooo aminadooo
Aminadoo amina mtoto mtam tam
Amina mtoto ni balaa
Amina mtoto mkaleee
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Nakukalia kidetete kidete
Kidetete kidete
Kalia kidetete kidete
Kidetete kidete
Amina don't complaign
Amina sema nini nikuhonge
Mtaani utambe
Wajue we ndio mama la mama
Amina chonde chonde
Amina mi nataka twende ukweni
Wambea wasiongee
Wabaki tu babababababa
Aminadooo aminadooo
Aminado amina mtoto mtam tam
Amina mtoto ni balaaa
Amina mtoto ni balaaa eeeh
Animadooo aminadooo
Aminadoo amina mtoto mtam tam
Amina mtoto ni balaa
Amina mtoto mkaleee
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina Amina Amina
Amina Amina yeeeeiyeeee..!
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Amina pretty superwoman sex angel beauty
Nakukalia kidetete kidete
Kidetete kidete
Kalia kidetete kidete
Kidetete kidete