![Kifo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/30/24429f2776774f34bef1e2fd7b860b09H3000W3000_464_464.jpg)
Kifo Lyrics
- Genre:Country
- Year of Release:2024
Lyrics
Kifo - Jay Combat
...
kisingekuwepo kifo
tuishi milelee
tunywe tusileweee
usingekuwepo mwishoo
wote tungekwenda mbelee
sio twiga sio ngederee
afya bora utunze ujana
uzee majaaliwa
twalia lia ukiwa
lala pema chidi mtiwa
my pacha doto selaaa
jay wabishi kulalaa
r - chuga city fire
wako udongo mwili wa nyama
futi 6 utazamaa
sisi wote wa rabana
mkumbuke sali sanaa
iwe nuru ya kiama kesho
<<X2>>
kisingekuwepo kifo
tungeishi milelee
yani tunywe tusilewe
sio gonjwa la kuzushwa
kifo siri ya muumba
ukiitwa utakuja
sio dege la kurushwa
litumialo mafuta
wanga wanga ukisota
tunaishi kuna kufa bwanaaa
kusingekuwepo kifooo
wote tuishi mileleee
tunywe tusileweee
KIITIKIO
X2 with introo