![Shika Shika](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/7D/1D/rBEeNFtXPyuAKsYIAAC28gvfvrA956.jpg)
Shika Shika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Shika Shika - Tim Master
...
Riccobeatz...
Tim Master, Ni the Master T...
Nikuwashika.. Shika.!!
Shika Shika,
Shika Shika,
Shika Shika
The Master nikuwashika eeh...
Shika Shika,
Everybody Shika Shika,
To the left Shika Shika
Hii game tumewashika...!
Waki lost toka sahii mindio nina map,
Nishapata Routi zangu so na nimemark.
Though naplay cool,
Nachill kwa room,
Kejani Iko full YOLO,
Ni bush nadoo.
Party kaa majuu nafunga naspray nadoom,
Ninajump niko top kaa big baloon.
Sinaga wasiwasi pia nakam na peace
Nikudish na kuchill wapende wabeaf nanii..!
Juu niko hot yaani sun Ready ichome kama pan,
Nikodrop zinapop mi uspit kam gun..
Kwa hii band mi ndio yule one man watachew nawateme ndio nistick kama gum,
Hot yaani sun Ready ichome kama pan,
Nikodrop zinapop mi uspit kam gun..
Kwa hii band mi ndio yule one man watachew nawateme ndio nistick kama gum Sultan!!
Let's Gooo!
Shika Shika,
Shika Shika,
Shika Shika
The Master nikuwashika eeh...
Shika Shika,
Everybody Shika Shika,
To the left Shika Shika
Hii game tumewashika...!
Tuko mbele katikati,
Hawa wengine walibaki,
Waliheat zile time Enzi za mwai Kibaki,
Mwai Kibaki
Kaa Osama Walipitwa na wakati,
Hivi sasa wamerust kaa mabati,
Master T alete vybe fans wadeside,
Team yellow tuko fast tena kama Ride,
Tunashine tukifly Nawatry tukislide
Juu hawawezi kwa hii game chini iko top,
So Mziki ndio kutell wacha nizidrop,
Nikidrop Zina pay, Zangu kama Coke
Mi si Amber ama Rose, OK,
Call me the boss hizi ryme zitacouse ka za Rick to the Ross..
Juu niko hot yaani sun Ready ichome kama pan,
Nikodrop zinapop mi uspit kam gun..
Kwa hii band mi ndio yule one man watachew nawateme ndio nistick kama gum Sultan
Shika Shika,
Shika Shika, Sultan!
Shika Shika
The Master nikuwashika eeh...
Niko Hot yaani sun Ready ichome kama pan,
Nikodrop zinapop mi uspit kam gun..
Kwa hii band mi ndio yule one man watachew nawateme ndio nistick kama gum..Lets Gooo..!
Uuuh ...uuuh..
Shika Shika,
Shika Shika,
Shika Shika
The Master nikuwashika eeh...
say what!
Shika Shika,
Everybody Shika Shika,
Hey, Hey!
To the left Shika Shika
Hii game tumewashika...!
Shika Shika,
Shika Shika,
Shika Shika
The Master nikuwashika eeh...
Say what! Eti what
Shika Shika,
Everybody Shika Shika,
Hey, Hey!
To the left Shika Shika
Hii game tumewashika
Yo! ehe
Ni the Master T
Tim Master
Waliskia wakapanic
Round hii tunakuja tunawachapa!
hey,
Hii game tumewashika
Ricco, Runawashika..