Misso Misondo ft Wazee Wamakoti - Yatapita Tu. Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2024
Lyrics
Misso Misondo ft Wazee Wamakoti - Yatapita Tu. - Misso Misondo
...
yatapita tu mwanangu
yatapita tu
(wee miso misondoo umepigaje apoo)
kwa kijumbe una madeni( yatapita tu)
pono mpaka vpn(yatapita tu)
Mungu kakunyima sura
kakupa komwe hauna sura
hupati kazi naa umesoma
aaah yote yatapita karibu kitaaa koroonaa
kila siku maandamanoo
yale maumivu ya kufungwa tano
aah walio lala mahospitaliii
Mungu mwema kesho mtakua ngangalii
kibaruani kuna mashaka
na mke nyumbani anadai talaka
acheni kutupiana
ridhiki kufungiana
huna godoro unalala chini
usiku haujui utakula nini
...
ni swala la muda tuuu
na imani yatapitaaa
kila siku majanga tu
yote yatapitaaa ×2
......
(ameeeen ameeeen )×4
miso misondo una hataaaariii
ntakupa dada
....
uswahilini kusutana
na nguo kuazimana
sungusungu singizia sana
unafanya kazi mshahara kulala
piga kazi mandala mwananyamala