
Yesu Kwetu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Yesu kwetu, Tumaini kuu
Kwetu muda wote
Wakati wa mateso na wakati wa raha
Hata dhoruba zivume hatutakuacha
Hatuhofu giza Likitanda
Yesu Nuru ng'aa
Hakuna giza kushinda
Nuru yako Bwana
Hakuna giza kushinda Nuru yako Bwana
Kuna nuru Kukaa na Yesu
Kuna mwanga Ajabu
Njoo sasa Bwana kaa nasi
Angaza moyoni
Twatamani kuwa nawe rafiki Ajabu