Ukiniacha ft. Barnaba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ukiniacha ft. Barnaba - Maarifa
...
Naitwa Maarifa, mtoto wa baba
Kibaa, finest
Ukivimba ah-ah nakukamua
Ukiwa mtata nakutatua
Kwa kuwa, najua
Aliyeniumba ndiye atakaye niumbua
Eeh ukiamua kupenda
Au utakacho ukiamua tenda
Eeh ukigundua chenga
Ustarahishe moyo ukiamua kwenda
Ukienda yaani tu ukiniacha
Shiega ka kuvuja kwa pakacha
Ukisahau sikukumbushi ng'o
Na huu ni ukweli wala sikurushi roho
Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha sio gesi haswa
Natumia gesi usinitishie bei ya mkaa
Ayeyeyeye..ayeyyeye beiby
Ayeyeyeye, mmh kusalitiwa ni sehemu ya maisha
Ayeyeyeye..no no no no my love
Ayeyeyeye, kusalitiwa ni sehemu ya maisha
Ukiamua kwa dhati ukiamua
Nitakuwa bustani nikiwa ua
Ukizingua basi ukizingua
Yaani mi nikianika ukianua
Sasa vipi nidate na
Huku utamu wa pipi ni mate na
Niaje na, nipate sa
Ukiona majengeka jikate ma
Kwa maana hii, nina maana mi
Maana ni, ielewe, ayeyeyeye
Kukupenda haimaanishi
Siwezi kuishi bila wewe
Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha sio gesi haswa
Natumia gesi usinitishie bei ya mkaa
Ayeyeyeye..ayeyyeye beiby
Ayeyeyeye, mmh kusalitiwa ni sehemu ya maisha
Ayeyeyeye..no no no no my love
Ayeyeyeye, no no no no
Yaani shega tu, yaani shega tu
Nikiwa siko shega tu
Niwe bachela shega tu
Hali mradi nina amani
Yaani shega tu, yaani shega tu
Nikiwa siko shega tu
Niwe bachela shega tu
Hali mradi nina amani
(This is Barnaba Boy classic)
(Naitwa Maarifa, Kiba finest)