Sondela (feat. Treyzah) Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
Lyrics
Intro_Kwaze X Treyzah
Uuuh wouh woowoo
Eeeeiiih eeeeiih eeeeeiyeee iyeeeyeee
This one done by dolphin
Ouuuh ooouuh ooooh wooooo
Verse 01_Treyzah
Ye anapenda mapenzi
Nisipopiga simu anahisi anaonewa
Anapenda kudeka tu kudekezwa
Heka heka shida ye haziwezi
Ye haziwezi
Anapenda mapenzi
Nikimpa nusu anataka kuongezwa
Penzi lake rojo rojo chombeza
Utamu mpaka kwa kisogo nogesha
Baby ongeza aaaah
Dada umeshanikamata
Nahisi nimedakwa
Mapenzi yananifata
Kila napoendaga
Do you feel mi dada *2
Oouuwoooh!!
Chorus_Treyzah
Nataka nikwambie kitu sondela
Kwako sitoleta usela
We ndo my number one
i lolo lolo love ve you
Baby come closer sondela
Kwako sitaleta usela
We ndo my number one
I lolo lolo love ve you,
Hook_Kwaze
Shumba shumba lelele*8
Aaaaaaaahh dolphin….
Verse 02_ Kwaze
Mtoto body heavy figure
amelitoa kwa mama
(Aaaaah mama)
Chonde chonde usije niacha
nitakupea laana….
Dede kwake nasimama,
My treasure ma baby pana,
Sondela tulonge dada,
Mdougo kijana….
Wangu umutima(eeeeeeh Mutima)
Kwake umezama mazimaaa (Zimaa*3)
Sogea baby nkwambie nina (Eeeeh nina)
Ninakupenda sana zaidi ya jana
shahidi mama…..(Ooooh)
Miss Bonjour,
Mashallah amina
mi sinaga mwingine,
Wewe tu,
Naona raha kua nawewe,
Huko nyuma mechana sana mikeka,
Now nime settle kwako mama bhasi deka,
Nikipatacho mezani nitakiweka,
I give you more en u deserve better,
Aaaah Dada
umeshanikamata,
Nahisi nimedakwa,
mapenzi yananifata
Kila napoendaga
Do you feel me dada
You feel me dada
Oooouooooh!!!….
Chorus_Treyzah
Nataka nikwambie kitu sondela
Kwako sitoleta usela
We ndo my number one
i lolo lolo love ve you
Baby come closer sondela
Kwako sitaleta usela
We ndo my number one
I lolo lolo love ve you,
Hook_Kwaze
Shumba shumba lelele*8
Aaaaaaaahh dolphin….
Jaywilz….