Kafia Gheto Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kafia Gheto - Hussein Machozi
...
oya oya mwanangu eehh vipi
vipi tena mbona unaonekena machozi yanakulenga
eeehh bwana we acha tu mzee
imekuwaje tena?
"siku nyingi binti namfukuzia
alishanitosa nishakata tamaa
sikujuwa kama kwangu angekuja
nilitoa matumaini ya kumpata xx2
(leo hii kaja mwenyewe mchumba)
gheto kwangu mpka ndani kaingia
(nilimuuliza naweza kukusaidia)
akacheka kisha akaniambia
'ombi langu lile amenikubalia
siku zote alikuwa akinifikiria'
niliruka kwa furaha kubwa sana
siku amini kama mtoto ningempata
(usilojuwa ni usiku wa giza)
ningetambua bora ningemtimua
(usilojuwa ni usiku wa giza)
ningetambua bora ningemtimua
'"nani ataniona me ni mkweli
nani nikimuelezea ataniamini
nani ataniona sio katili
nani atanisaidia mimi'" xx2
Baada ya story binti nilimuuliza
kinywaj gani angeweza kutumia
alinieleza kisha me nikainuka
nikaelekea dukani kununua xx2
Huwezi amini nyumbani nilipo muacha
baada ya kurudi ndipo kizaa zaa
binti alikuwa kitandani kajilaza
nilimuamsha lakini hakuamka
pumzi zake zilikuwa zimekata
nilidhani labda kazimia
maji ya baridi kichwani nilimwagia
lakini hata hakushtuka
(kumbe alikuwa tayar ameshakufa)
nimekwisha husseni bila kujuwa
(kumbe alikuwa tayar ameshakufa)
nimekwisha machozi bila kujuwa
nani ataniona me ni mkweli
nani nikimuelezea ataniamini
nani ataniona sio katili
nan atanisaidia mimi