Najua sijakamilika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Najua sijakamilika - The redeemed tz
...
verse 1
Mtu mimi ni nini kwako,
(Who am I to you)
eeee MUNGU wewe mwenye utukufu ;
(Oh holly God)
kuwa karibu nami na unifikirie ;
(For being close and thinking of me)
kwa kuongoza hatua zangu kuzirejesha katika haki;
(Through guiding my steps and make them righteous)
hivi mimi ni nini hata kunijali?×1
(Who am I that you care for)
chorous:
Najua sijakamilika mimi;pia kuna muda nakosea
(I know I'm not perfect; there are times I wrong you) lakini bado wanipenda ...
(But you still love me..)
aaaaa na Magumu niyapitiayo mimi ;
(Oooh Through hardships )
wanijaza tumaini ;
(You fill me with hope)
asante MUNGU wangu. ×2
(Thank you my God)
verse 2
Mimi ni wathamani kwako;
(I'm valuable to you)
hakika kweli ni wapekee;
(I'm unique)
huwezi niacha hata niaibike ...
(You can't leave me to shame)
upendo wako,uvumilivu
(Your love and tolerance)
vyanipa nguvu kusonga mbele
(Gives me power to carry on)
usiache kaa nami siku zote. ×1
(Do not leave me, stay with me everyday)