Juu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Juu - Flex africa
...
They call me flex oh nanaa ooh ooh
I am already kwenda nawe kila kona
ya mtaa
I know I know babe
kama kweli unanipenda si utani
come on
come on babeee
nikubebee
come on
come on babee
nikubebee
unajua kubana nikupe banana
ona tunavyo endana aa
na sio one night
wallahi wallahi milele
unajua kubana nikupe banana
ona tunavyo endanaa
nasio one night aaaa
aaaaa
senorita margarita
mpaka nasikia damu inavyo pita
eh kama unaniita
nikilala nikilala aah
eh you suppose to know that
nakupenda na kukuacha haitoweza tokeaa
weza tokeaaa aaaah
you you you
kama namba we ni moja n
a sio two
you you you
unasimama one nasimama two
tunapaa juu
you you you
kama namba we ni moja na sio two
you you you
unasimama one nasimama two
tunapaa juu
Sijui wapi nilichelewa
kumpata kama we wa kunielewa
unanibeba hata nikilewa
kushoto sura giant unazielewa
yeah yeah yeah
yeah yeah yeah a aah
nashindwa kuficha naenjoy
nikiwa karibu na wee
senorita margarita
mpaka nasikia damu inavyo pita
eeh kama unaniita nikilala nikilala aah
eeh you suppose to know that
nakupenda na kukuacha haito weza tokea
weza tokea aaaaah
you you you
kama namba we ni moja na sio two
you you you
unasimama one nasimama two
tunapaa juu
you you you
kama namba we ni moja na sio two
you you you
unasimama one nasimama two
tunapaa juu