KITU TAM ft. Iphoolish Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
KITU TAM ft. Iphoolish - Area boys 254
...
wawili
aah ati mi nawataka wailing
na wakue best friends usiwory just dance
mi nacheki mbili mbili zikishika usi tence
Leo stress ni less
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam tam)
kana hanjam man(kana hanjam)
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam)
nika tanka man(nika tanka)
Anapenda kitu tam kitu tam tam kitu tam kana hanjam kitu tam kana hanjam
anapenda kitu tam kitu tam tam(
hii kitu anaitaka)
hikitu ushai test nikikuomba utanigei
nikikuomba utanipe macho ziko red zimeshika no stress kaa ni mzinga uta get irony kalifa na venye anani toto mali safi anadai kunikaliapenga ni wakwako na venye anani katia utadhani shabiki juu ya design na lala
ipholish
niko na mali yako kejani Anataka kwiky mi hukula dishi alafu mpishi usingizi wa pono usingizi wa wiki
niko na peremende anaweza licky naskia utam naskia utam tam mi huvuta shada alafu kinyam nyam kaa ako na haga lazima mahanjam na ako na beste mi hukuja na buckup
mi
nawataka waili
na wakue best friends usiwory just dance
mi nacheki mbili mbili zikishika usi tence
Leo stress ni less
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam tam)
kana hanjam man(kana hanjam)
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam)
nika tanka man(nika tanka)
Anapenda kitu tam kitu tam tam kitu tam kana hanjam kitu tam kana hanjam
anapenda kitu tam kitu tam tam(
hii kitu anaitaka)
tos tingiza kiuno alafu win and catch
figure nane chora saba nikuwai dose mi huchapa chapa alafu mi na doze and pose (aha)
cute boy mwana lisa nika yellow yellow figure pia imeiva anapenda ngwai ongezea na na shisha nazikimshika ye huchachisha
and rotate let me girl launch it mzigo ziko fine
na nime diggy ananikunywa kama wine nika tikok divaaa kananimalizaaa shepu vera sidikaaaa
nikaslim tena kame ivaaa
mi
nawataka waili
na wakue best friends usiwory just dance
mi nacheki mbili mbili zikishika usi tence
Leo stress ni less
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam tam)
kana hanjam man(kana hanjam)
Anapenda kitu tam kitu tam(kitu tam tam)
nika tanka man(nika tanka)
Anapenda kitu tam kitu tam tam kitu tam kana hanjam kitu tam kana hanjam
anapenda kitu tam kitu tam tam(
hii kitu anaitaka) hii kitu anaitaka hiii kitu anaitaka anaitaka