Mungu Amebadilisha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Aaaarsi
Mmmmmhhhh
Yelele
Yelele
Yelele
Mmmhh
M'mama mamamamama
M'mama mamamama
M'mama mamamamama
M'mama mamamama
Mwonekano wangu Mimi
Ni neema na kibali
Mwonekano wangu Mimi
Ushuunda Mungu anabadilisha
Ingekuwa niwe vile
Ibilisi alitaka Mimi niwe
Ingekuwa niwe vile
Ibilisi alipanga Mimi niwe
Kama siko kaburini
Haungeniangalia mara mbili
Kama siko kaburini
Ungalinipewa ungalinikataa
Ila Mungu kwa nguvu zake
Ila Mungu kwa mipango zake
Ila Mungu kwa rehema zake
Amebadili taswira
Na habari waipate
Pia number waisome
Na habari waipate
Pia number waisome
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha
Changu kipaji
Kiliwapa na kiwewe
Zangu juhudi kupaa
Zikawatia hasira
Walikesha kwa wangaga
Wa kienyeji
Kunifanyia uchawi
Njia zangu
Wakapanda magungu
Isitoshe wakanizingira na kuta
Chote nifanyacho
Hakisongi jamani
Kila nikipanda
Sioteshi thamani
Walionidhamini
Wakaniona sifai
Hata wangu wa karibu
Wakanisaliti mchana
Ila Mungu kwa nguvu zake
Ila Mungu kwa mipango zake
Ila Mungu kwa rehema zake
Amebadili taswira
Na habari waipate
Pia number waisome
Na habari waipate
Pia number waisome
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha
Afya yangu amebadilisha
Mapato yangu amebadilisha
Mwonekano wangu amebadilisha
Familia yangu amebadilisha
Huduma yangu amebadilisha
Mziki wangu amebadilisha
Biashara zangu amebadilisha
Ooooho amebadilisha
Huyu Yesu wangu amebadilisha
Kwa rehema zake amebadilisha
Kwa huruma zake amebadilisha
Kwa nguvu za roho amebadilisha
Amebadilisha amebadilisha
Kanipa thamani amebadilisha
Oyoyoyo yoyoyo amebadilisha
Kanipa amani amebadilisha
Amenipanipa nipanipa nipanipanipa mimiii
Wayaaaaeee
Na habari waipate
Pia number waisome
Na habari waipate
Pia number waisome
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha
Wajue mambo sio vile
Walipanga Mungu amebadilisha