
Moyo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Moyo - Aslam Tz
...
......... instrument ..........
king mamba
nasema nawe moyo
najua unaniskia
naongea nawe moyo
najis kabisa naumia
kwa ndani
ni kipi kiniponzacho
ama kasura kangu kaupole
nikipenda inakuaga kipengele
nalia boya
mwenzangu namweka mbele(mbele)
vipi ntakula kwa macho
kucha nazo nataka upele
tatizo moyo wangu unakiherehere
na ukiachwa sa kwa kupiga kelele
kama matangazo ya vifooo
Una nini wewe,tulizana moyo
maana nayaona,nayaona
una nini wewe,tulizana moyo
maana nayaona,nayaona
tulizanaaaa mmmh
tulizanaaaa tulizanaaaa
tulizanaaaa
moyooooo tulizana moyooo
moyo unaisikitisha
,nayaonanashindwa Fanya ya kuyajenga maisha
moyo mapenzi yanatubadilisha
huyawezi moyo utakuja kufaa
moyo unanileka wangu wangu
kutwa kutawanya visivyo vyangu
vinginewaachie walimwengu
moyo nikifa nitakufa pekeyangu
hapo kama mwanzo
mapenzi yamekubadilisha
unanipa mawazo tuyaache
moyooooo imetoshaaa
Una nini wewe,tulizana moyo
maana nayaona,nayaona
una nini wewe,tulizana moyo
maana nayaona,nayaona
tulizanaaaa mmmh
tulizanaaaa tulizanaaaa
tulizanaaaa
moyooooo tulizana moyooo
.................. instrument ......