Mungu Mmoja (Live) ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2024
Lyrics
Mungu Mmoja (Live) ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - BELLA KOMBO
...
Ayaeee Ayaeee
The king of glory is here
Ayaeee Ayaeee Aaah Ayaee He is here
Utamwambia nini ukimuona
Utamwambia nini ukimuona
Tunainama Tunasujudu
Mungu ni mmoja tu
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee Eeh Ayaee He is here
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee Eeh Ayaee He is here
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee Eeh Ayaee He is here
So Mungu yuko mmoja tu
Yaani niko ambaye niko
Pokea sifa za mioyo yetu
Mungu ni Mmoja tu
Mungu yuko mmoja tu
Yaani niko ambaye niko
Pokea sifa za mioyo yetu
Mungu ni Mmoja tu
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee Eeh Ayaee He is here
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee Eeh Ayaee He is here
C'mon Everybody
Ashera ooh
Ashera ooh dagoni ooh
Baali
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka wamevunjika
Mungu ni Mmoja
Mungu yuko mmoja tu
Ashera ooh
Ashera ooh dagoni ooh
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka
Wameanguka (milele) wamevunjika
Mungu yuko mmoja tu
Ashera ooh
Ashera ooh dagoni ooh
Baali miungu ya kigeni
Wameanguka iyee
Wameanguka (wameanguka) wamevunjika
(Mungu) Mungu yuko mmoja tu
Ashera ooh
Ashera ooh dagoni ooh
Baali miungu ya kigeni
(Wameanguka) Wameanguka (mileleee) wamevunjika
Mungu yuko mmoja tu
Lift up your hands towards heaven this evening
Inua mikono yako juu kwa Yesu mahali hapa maana Mungu yuko hapa
Hautoki hapa vile ulikuja hapa
Wengine wenu wamebeba mizigo mengi
Wengine wenu wamelemewa hawajui watazame wapi
Nataka utazame Mungu aliye juu maana anabadilisha situation yako
Inua mikono yako juu kwa Yesu
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee ooh Ayaee He is here
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee ooh Ayaee He is here
Ayaee Ayaee
The King of Glory is here
Ayaee Ayaee ooh Ayaee God is here