
Namposti ft. Goonjoe Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Namposti ft. Goonjoe - OgaObinna The Oga@DTop
...
Nana ×4
Oga@Dtop Goonjoe
ohhh yeah
nana×4 ohh yeah
Namposti kwote mumone
mumjue honey
maswali yapungue kiboko yangu nani
wasiwasi sinaaa naye hofu hana
namtaja na jina muwache kuulizanaaa
Nimechoka kumficha leo namposti
Nimechoka kumficha leo nampost
Nimechoka kumficha leo namposti
Nimechoka kumfiiichaa leo namposti
ohh yeah......×3
Nashajizatiti si wifey nishamtuliza kwa penzi
bora mumjue ni wifey wala kumcheati SIWEZII
Mi ndio kiboko yake na mkoza wa roho yake
ye ndio kiboko yangu fundi wa haha zangu BEBIII
Nimechoka kumficha leo namposti
Nimechoka kumficha leo nampost
Nimechoka kumficha leo namposti
Nimechoka kumfiiichaa leo namposti
Haahaa Je
Nimechoka nimechoka kumficha
Nimechoka nimechoka kujificha
Nimechoka kumficha na mafilter
sema mummy wataka nini
itisha honey ulambe asali
je nikikutoa hautanichorea
na je nikikutoa sitakupoteza
penda barabra na kanyaga polepole
moyoni ndio benz naendesha taratibu
kula zabibu wengine wapate aibu