Nipo Single ft. Ibraah Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
Lyrics
Nipo Single ft. Ibraah - Dayoo
...
sirii sio Siri Tena, ya mefichuka
Mimi na yule hatupo Tena,
mmh sisi sio wawili Tena,
na sio wapenz tena,
mapenz shule pema sio pema Tena,
oyah yule shemeshi yenu ( eeh)
Shemeju yenu....
Saivi kama paka na panya
Na panya eeeh
Oyah shemeji yenu (yeeh)
Shemeji yenu
Mikausho tukionana
Sijui ni nini kilicho mfanya nimtose
Me mawazo ndo namuwaza siku zote
Na wapi nikarefresh roho isitoke
Onaa Kuna party wapi!? Leo
Nikavae tutokee
Niko SINGLE
Nami sasa nipo SINGLE.
Ooooh single.....
Mm nipo singlee
Ooooh single....
Instrumental.........
Aaah aaaaah aaeeeeh
Chinga aaaaah eeeh
Uuuuh me nilimpenda nikampa vyote
Nikamsusia moyooooo
Ye hakunipenda aliniona zoba nilipokuwa loyal
Siku zikaenda hatak kunipa
Kaninyima uchoyoo me nilimpenda aaaah
Kanlipa kunitendaa aaa
Ila Dunia duara muacheni aizunguke eeeh
Nilifunzwa busara kiburi nikiepuke
Sindo kaniona fala Kanikana kweupe eee
Nikimkuta misala mwambieni asijute eeee
Sijui ni nini kilicho mfanya anitosee
Me mawazo namuwaza siku zote
Wapi nikarefresh roho isitoke ee
Kuna party wapi leo Nikavae tutokee
Niko singleeeew
Ona sas nipo SINGLE Ooooh SINGLE
Mm nipo single ee oooooh singleee
Aaah chinga konde music world wide