
Oh My God Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
Oh My God - Maddoh
...
Maddoh Yeyeee
Oh My God
She the pretty
Number one
Kwangu me ye ndo one
Anarangi ya kila dizaini
Mtoto ni kweli kifaa
Sio masaro
Mtoto kangaro
Kashanipiga kabaro
Mmmmh
Oh My God
Huyu mtoto ni kweli ni noma
Oh My God
Ameumbwa kaumbika kashona
Oh My God
Yendo wajina kanishi kanishi kanishika
Oh My God Oh My God
Oh My God
Huyu mtoto ni kweli ni noma
Oh My God
Ameumbwa kaumbika kashona
Oh My God
Yendo wajina kanishi kanishi kanishika
Oh My God Oh My God
Ananyingi nyingi style
Mtoto nyepe nyepe sito gairi
Sio wa makiki sio wa mjini nisha sign
Nikilishika body mtoto laini
Usije ni bwaga mataa
Mwenzako nisha Fall love kwa upendo
Wouwooh
She the pretty
Number one
Kwangu me ye ndo one
Anarangi ya kila dizaini
Mtoto ni kweli kifaa
Sio masaro
Mtoto kangaro
Kashanipiga kabaro
Mmmmh
Oh My God
Huyu mtoto ni kweli ni noma
Oh My God
Ameumbwa kaumbika kashona
Oh My God
Yendo wajina kanishi kanishi kanishika
Oh My God Oh My God
Oh My God
Huyu mtoto ni kweli ni noma
Oh My God
Ameumbwa kaumbika kashona
Oh My God
Yendo wajina kanishi kanishi kanishika
Oh My God Oh My God