![Hail The Don](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/30/e1c5957361824df29d4bb692029e26e9H500W500_464_464.jpg)
Hail The Don Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
The Lyrics
Usinikoromeze, niko juu sana
In the game of life, Don ni commando
Napanda chati, kama ngoma za ngono
Kwa Kalpop, lingala, afrobeats, Don ni maestro
Ka' Hail Mary, tunaimba Hail The Don
Napiga saluti, kwenye mic Don ni champion
Hail The Don, Hail the Don!
Kama ni ngori, just Blame it on Don
The Badman Killa, Simba wa Africa
Just Blame it on Don, Hail the Don!
Ukikam kwa JAH, mimi ni mwana wa kingdom
Kwenye mic daima nashine, kama ring ya boxing
And I don’t give a fuck, tena Kalpop ndio ngoma
Kwa akili nashine, niite Klassikan thinker
See upcoming pop shows
Get tickets for your favorite artists
Africa waambie;
Ya kwamba tamaduni zetu ndizo zatufaa!
Klassikans waambie;
Ya kwamba tamaduni zetu ndizo zatufaa!
Hail The Don, Hail the Don!
Kama ni ngori, just Blame it on Don
The Badman Killa, Simba wa Africa
Just Blame it on Don, Hail the Don!