Tosha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Jehovah, we ndio number moja
Kweli unanitosha, unanitosha
Madoa, yote umeondoa
Kweli unanitosha, unanitosha
Cyrillo wo
Mi si worry, mi si worry, I'm on my lane
Niko fiti siko fiti well it's all the same
Coz' ni nani, can control my fate
Ni nani, who will feel my pain
My Lord where you at
Come save me my line they cut
They sell me they like a rat
I defense they attack
Oh iioh, nishaamini we ndio msoo oh oh
Kwa upendo umenipa more
Umenishika umenilove love lo oh
Oh iioh, nishaamini we ndio msoo oh oh
Kwa upendo umenipa more
Umenishika, umenilove love
Jehovah, we ndio number moja
Kweli unanitosha, unanitosha
Madoa, yote umeondoa
Kweli unanitosha, unanitosha
Unaniget, umenichoose, umenipicking
Vile niko si lazima eti ni fit in
Umeniokoa, umenikomboa
Simple terms acha n'seme umeniredeem
Nikusifu, bila aibu
Kwa maana umeniponya we tabibu
Nakwachia, kila kitu
Umenipa nguvu si hafifu
Ooh,
Oh iioh, nishaamini we ndio msoo oh oh
Kwa upendo umenipa more
Umenishika umenilo lo lo loh
Oh iioh, nishaamini we ndio msoo oh oh (iioh)
Kwa upendo umenipa more
Umenishika, umenilooove
Jehovah, we ndio number moja
Kweli unanitosha, unanitosha
Madoa, yote umeondoa
Kweli unanitosha, unanitosha
Jehovah, we ndio number moja
Kweli unanitosha, unanitosha
Madoa (eh), yote umeondoa (eh)
Kweli unanitosha (eeh), unanitosha (eeeh)
Cyrillo wo wo wo wooh
Champion buoy, Listen pon dis anthem
Eh