Pokea Sifa Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2024
Lyrics
Sifa zote na shukurani ni zako bwana Yesu
Mungu wangu
Ewe Baba yangu
Matendo yako ni ya ajabu
Mfalme wangu
Kiongozi wangu
Ukuu wako haupimanishwi
Pokea sifa Yesu
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Uabudiwe Yahwe
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Ukakomboa Danieli toka tundu la Simba
Ukafufua walio wafu, kaponya magonjwa
Ukawalisha walio njaa na ukawanywesha
Ukatambea juu ya maji, katuliza dhoruba
Pokea sifa Yesu
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Uabudiwe Yahwe
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Aaaaaaaaaaaaaah Unaweza
Uuuuuuuuuuuuuuuu Unatosha
Pokea sifa Yesu
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Uabudiwe Yahwe
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Pokea sifa Yesu
Kwa kuwa wewe ni Mungu
Uabudiwe Yahwe
Kwa kuwa wewe ni Mungu