
Walete ft. G. Nako Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Walete ft. G. Nako - Stereo Singasinga
...
eka jiti, tia vijiti, shusha ngisi, mwaga grisi
mboga mbichi, zoga fisi, weka kiki, toa vijiti
ki ki ki ki ki ki ki ki ki walete
kwi kwi kwi kwi kwi kwiii kwi kwi kwi walete
ooh ooh ooh walete *2
weka kizai zai kitu ni ng'ai ng'ai
kwani nani anatudai
kama mbwai na iwe mwbwaaaiiii
domo likiki mikokoo
lina maneno ya shomboo
ukizidisha kwa sana shoboo
watasema umetobolewa chambo
sina fagio anza mbio
watoto wanafata china kalio
daka hio saga hio
zungusha waliopo weka salio
waleteee