![Mwakenya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/14/5735406f83fe4cfca95f755f6f8033f2_464_464.jpg)
Mwakenya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Hi Kenya ni yetu
Amkeni Ndugu zetu
Eeh Mungu nguvu yetu
Aah a ha Aah
Tume come
Hatu go
Tumeshikana ka Siafu
Kama River
Tuna Flow
Tunapita na taka taka
Kusafisha Kenya yetu
Lugha yetu ni Mwakenya
Tuna Rise
Hatu Drop
Rata ta ta
Unataka Kuskia tena?
Tume come
Hatu go
Tumeshikana ka Siafu
Kama River
Tuna Flow
Tunapita na taka taka
Kusafisha Kenya yetu
Lugha yetu ni Mwakenya
Tuna Rise
Hatu Drop
Rata ta ta
Hi Kenya ni yetu
Amkeni Ndugu zetu
Eeh Mungu nguvu yetu
Aah a ha Aah