
Never Stop Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Never Stop - Nickrzy
...
everyday I grow
I belive that life so amazing
you can be what you want
no ku retire mpaka ending
we unaweza kuwa unacho like
we unaweza kuwa unacho want
you can take what you want
Because you're strong enough
I just need a little time to explain
wala kufanikiwa so mpaka uende shuleni
Maisha unakufunza mtaaà
Kubali kataaa
heshima pesa so inabidi kuzifata
ile kukosaga maladhi,mavazi,makazi
Kupata kazi ni kazi
in hard way inabidi ku make it
ila Never stop never stop
Never stop to fight
never stop never stop
haina mchana au night
Tushapoteza vingi aseee
washatuloga tusiendelee
vitendawili nitegee
ila macho mbele kwenye pay
Na ziko mambo mengi
kichwan nafikiriaga
nitimize ndoto
ni mtoto na naitwa baba
nabaki tu na hope mzee
na mi nitafika one-day
Utankuta napiga debe nabeba taka
wananihisi mwizi vile sura imechakaa
Kichwa kinawaza mbali far way na mi nikamtunze mamy eeh