![Bill (Chamgei Mising)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/28/2aa12556a5c0467180317b01f648c704_464_464.jpg)
Bill (Chamgei Mising) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Mnoko ya tuta jamo refu ndo inaguza Miss OCS ndani ya precinct
Leo jo ni fisting
Nikugota ngotha toka mboga dishi gota fiting
OCS anipate kwake
Nageuza serikal
Mangware chamgei mising
Mnoko ya tuta jamo refu ndo inaguza miss OCS ndani ya precinct
Leo jo ni fisting/feasting
Nikugota ngotha toka mboga dishi gota fiting
OCS anipate kwake
nageuza serikal
Mangware chamgei mising
Nina beef the man, gava
Prezo, depa, CJ, CS
Govana, Senates, MPs
MCA na Woman reps
Most of all ni ma OCS rank zote pia ma corporal
Tulipewa promises maziwa na cocoa
Saii tunaremsha ngwashe na maji moto
Woii woii choices zetu zinafanya tudance baikoko
Newacho baba hapana
Made it easy zakayo akapanda
The land of milk n honey hakuna kufika Canaan
Hata ulie maraa thao gadhee haupati plumber
Kufix your tears my guy we change your namna
Pull up in the ballot chagua morio anajali ma manman
Me Napull up against the bill na njwang'a nje
Mnoko ya tuta jamo refu ndo inaguza Miss OCS ndani ya precinct
Leo jo ni fisting
Nikugota ngotha toka mboga dishi gota fiting
OCS anipate kwake
Nageuza serikal
Mangware chamgei mising
Mnoko ya tuta jamo refu ndo inaguza miss OCS ndani ya precinct
Leo jo ni fisting/feasting
Nikugota ngotha toka mboga dishi gota fiting
OCS anipate kwake
nageuza serikal
Mangware chamgei mising
Ndani ya scenes ka Johnny
Zakayo ako horny
Ananyonga sana bana
Mwananchi atapata erectile dysfunction huoni?
Utumishi kwa wote inakuanga crap
Kenya kwanza hio sera ilikuanga cap cap
Kuchukua, kukula, kunona, kushuta
Bottoms up
Kumbe
Ni kunyi Ni sianda matanye kundule mahaga up
Bottoms up Mahaga up
Gen z Gen z anafight kuomoka na hii economy
Against the odds system hainifavi me
Contraceptives daily bread majukumu na hii hali inatisha G
Pull out game imekua on top stori za kulea no zii! no zii!
I asked my little cousin Rachel who's the president of Kenya aknshow financial bill
Ka ujashikanisha haina shida kunja ngumi
Toa kidole cha kati na useme ''Yoh fuck hio bill"