![Taradadi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/24/78c13032ee9541da9a9e2ef3f7a9d989_464_464.jpg)
Taradadi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Taradadi - Mrs Energy
...
alivonichit tukaachana (tukaachana )
nikampata
babe
lover
tukapendana
halafu me na yeye dam dam
tunafanana
penzi ndo tamu Tena zaidi ya Jana
mbna mwenzenu umenichanganya
... Tukishaanza ucku(hadi tomorrow )
Wakikuita honey booo( naumia moyo)
wakikutext wajibu Nina wangu Lolo
alinitesa mpumbavu sipash viporo
(penzi limetaradadi
limepoa
limetaradadi
halina doa)*2
......instrumental .. .... ....
babe nnaye wa Jana mtangoja sanaaaaa
mapenzi upofu ila kwake naona
wee! nisamehe hata tukigombana
unanikosha tue wote mpaka kiama
.. ...Tukishaanza ucku hadi tomorrow
wakikuita honey boo naumia moyo wakikutext wajibu Nina wangu Lolo alinitesa mpumbavu sipash viporo
(penzi limetaradadi
limepoa limetaradadi halina doa )*2
... .... instrumental . ..... .
tukishaanza ucku hadi tomorrow wakikuita honey boo naumia moyo wakikutext wajibu Nina wangu Lolo alinitesa mpumbavu sipash viporo .