Trophy Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
Lyrics
Trophy - Sosa The Prodigy
...
ongeza ongeza
ongeza base hio yako haitoshi
natepa pumpum na makali na mamoshi
mi ni gwash anapendanga wadosi
ameteka Ben 10 ni goshodo iko 40
dance floor anarombosa hachoki
ashalia adi sosa unajua mi ni trophy
dance floor anarombosa hachoki
ako fine ametii amewai nisha notice
njoti jaba mi hukulanga mchana
na venye na rowesa itabaki ameitana
juu ako juu ya kidera ananitikisanaga
anapenda yangu ndizi kejani ku banana
word play kama Wallah bin Wallah
naifanya tbt utadhani ni mashambala
flow smooth yaani mithili ya mala
mi on ur case bana mimi ndio mwala
punguza base unasonga kama moti
ongeza yako base kuna venye yako haitoshi
choche tukiperemba mamoshi
maziwa yangu refu itabaki mi ndio bosi
kam thru nikupeleke na rada
mi hukuwa na ching ching si unajua mi ndio kusema
sai sai mi napita na u mi na rusha one two
luku fisa gimme two
ni makali inafanya niwe dizzy
wanalia venye nakula mangwai nitachizii
wanalia adi Sosa mbona hushiki tenjee
ni venye niko shughuli bana mi niko busy
washalia eih eih we unaifanyanga tuh easy
ashalia Sosa daddy utadhani ni kirizi
toka enzi za kimboktaa mi ni mpishi
mi hushindanga tuh jikoni hizi doba wanadishi
full course meal na ikuji ikiwa cheesy
free world boss na ifike hadi kwa preview
hizi doba zisha zoza niko kwa tv
doggy doggy style 69 mi ndio fifi
ongeza base hio yako haitoshi
natepa pumpum na makali na mamoshi
mi ni gwash anapendanga wadosi
ameteka ben 10 ni goshodo iko 40
dance floor anarombosa hachoki
ashalia adi Sosa si unajua we ni trophy
dance floor kurombosa hachoki
ako fine ashati amewai nisha notice
aaaiii
heri nikuwe na you kuliko kuwa na Cecilia
big bompa una fit the criteria
hizi shashamane zimetoka abi senior
adjust ndio ni digi your interior
your punani ndio the best hizi zingine ni inferior
huku east tunanoza hadi warazi wanakimya
watoto wakorofi si unajua ni this yr
.....................
ongeza base hio yako haitoshi
natepa pumpum na makali na mamoshi
mi ni gwash anapendanga wadosi
ameteka ben 10 ni goshodo iko 40
dance floor anarombosa hachoki
ashalia adi Sosa si unajua we ni trophy
dance floor kurombosa hachoki
ako fine ametii amewai nisha notice aaiiiii
.........