
Unanifaa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Unanifaa - Killy Tz
...
Yeh yeh
Yeh iyeeh iih
Ooh oooh na nah ah
(Jini X66)
Nakupenda mpaka najihurumia
Sina mipaka nagugumia
Ukitoa mama kwenye hii dunia
Anayenipenda ni wewe
Kwako sina shaka, nimetulia
Kama maji kwa sufuria
Amini kwamba, nachokuambia
Ayenipenda ni wewe, ah!
Si eti honey, uko tayari
Kuntunza kama yai uko tayari
Si eti honey, uko tayari
Kuntunza kama yai uko tayari
Unanifaa, nakufaa
Tunafaana, tunafanana
Unanifaa, nakufaa
Tunafaana, tunafanana
.................................
Wasijekuja marafiki, wakakubadilisha
Ukawa hushikiki, ukanidhalilisha
Mara mawigi ya kukodisha
Wakati umeumbwa ukaumbikaa
Ukigeuka unanipa midadi
Shepu lako laini laini kama maji, na
Kwenye kitanda, mama una kipaji
Maufundi mengi mpaka hayana idadi
Si eti honey, uko tayari
Kuntunza kama yai uko tayari
Si eti honey, uko tayari
Kuntunza kama yai uko tayari
Unanifaa, nakufaa
Tunafaana, tunafanana
Unanifaa, nakufaa
Tunafaana, tunafanana
.................................