Nana Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2024
Lyrics
_NassTaima verse1_
Naona kama dunia
Imeanza upya toka niwe nawewe
Ndio kuna vitu najua
Mi nilikua sijui
Umenijuza wewe
Wanipore vyote vya dunia
Nikibaki nawewe inatosha
Pendo lenye ujazo kilo mia
Unanipa hata bila kuchoka
Why nililishwa n'ta nawe nyuki mtoa asali waona?
Sema bora umeziba nyufa hujachelewa umekuja mapema
You my African Queen
The Girl of my dreams nakupendaa
We ndio type yangu mimi
Nakujua unanijua tunajuana
Oooh
_(Chorous)_
Onanana
(Let me sing for u)
Onanana
(Co'z i know what i do?)
Onanana
(Onanana baby)
Onana
(Onananaaa)
_Queen minor verse2_
Ananitoa bara
Anipeleka visiwani
Na marashi ya pemba
Kanimwagia makopa
Na kukuacha sidhani
Penzini mi nishakora ah
Huo utamu unaonipa
Mmmh
Kwake napewa vitamuuu
Vya uchungu sijavizoea
Mi nawewe baby tushakula yaminiii
_(Chorous)_
Onanana
(Let me sing for u)
Onanana
(Co'z i know what i do?)
Onanana
(Onanana baby)
Onana
(Onananaaa)