
I made it (Je laf'ait) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
I made it (Je laf'ait) - Astro Africa
...
(instruments)
aiyee yeee
yeah yee
no no no noooo
...........
we came from humble homes
no food, no cloth,.... to wear (yeah)
a bare foot, no shoes,....to wear
no matter how hard I try
I had to teach my self how to fly
( under water )
how to swim ( in the air )
ety who am I?
nilijiuliza nani me labda nimefanya dhambi kiasi gani hiki
( kisicho sameheka )
waliniona sifai 'akati wao wamepiga suti official na tai
leo Mungu ameondoa nishai
(leo ninacheka) ah!
nakumbuka zile hustle za dady na mamy
yote tusikose kitu nyumbani
kwa jirani chakula
kuna muda nilitamani wasitoke nyumbani
huku nisichekwe na majirani
moyo umejaa