Sema Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Yani inabidi wakuone
Saa kumi nambili in the morning kichwani nakuwaza tu wewe
Hua najiuliza ka umeniroga
For you i be doing the most
Hakunaga kitu unakosa wewe
Sikia we
Girl unasikia wee
Milele mi nawe
Nataka niishi nawe
Nimekupa yangu dunia
My music is for you i say
Na ulivo fine
Acha nijidai
Napenda ulivo
Mi napenda ulivo
Mi nawe twende mbali
Tuenjoy yetu safari.
And you got it all
Girl for real you got it all
Nikiwa nae nafurahi
Acha nijidai
Ni mengi wanasema
Ili nabado haujanitema weeh
Navile umeniteka
Kila siku kwetu furahi day..
Ni mengi wanasema
Ili nabado haujanitema weeh
Navile umeniteka
Kila siku kwetu furahi day
In the middle of the night
Kila sehemu niwe nawe
Tuzunguke mitaa
Kila kitu tufanye
You one a kind
The one in my mind
Asa niende wapi
Baby we ndo mali
Haipiti mida
Nakuwaza kila dakika
Sijali hawata waseme nini
Wewe ndo wa kwangu mimi
Unanimaliza
Kila unachonipa
Your so amazing
Sijali hata waseme nini
Napenda ulivo
Mi napenda ulivo
Mi nawe twende mbali
Tuenjoy yetu safari.
And you got it all
Girl for real you got it all
Nikiwa nae nafurahi
Acha nijidai
Ni mengi wanasema
Ili nabado haujanitema weeh
Navile umeniteka
Kila siku kwetu furahi day
Ni mengi wanasema
Ili nabado haujanitema weeh
Navile umeniteka
Kila siku kwetu furahi day
Ni mengi wanasema
Ili nabado haujanitema weeh
Navile umeniteka
Kila siku kwetu furahi day