Waiter Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Waiter - Plannet Tz
...
anaona kama najishaua
eti kisa nampenda sanaa
vizawadi mara pipi maua
kujiridhishaa napendwa sanaa
sinaona now ona now wala hanijalii iiiih
sinaona now wala hani fikiriiiii
churus
ukuti ×2
wa mapenzi mapenzi
mwenzenu×2
yamenifika haaaapa
Waiter ×4
ongeza moja
leta nyengine
moja moja,ongeza nyengine
BEAT.....
sisikiii siambiliki mapenzi yana siku za wiki
simu yangu hashiki mesage kila saa single tick
kiherehere kimamponza kufanya napenda nimeoza
Mwafurani mwafuraaaa...
mbona unantesa mwenzako,samahani najua huyo ume mpata na hapa ipo
chorus
ukuti ukuti
wa mapenzi mapenzi
ona mwenzenu mwenzenu yamenifika hapa
waiter waiteer eeeh×2
ongeza moja,leta nyengineeee