![Penzi lake](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/06/d3624540e09448c09f1c51a953ab13de_464_464.jpg)
Penzi lake Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2024
Lyrics
Penzi lake - Fighter boy
...
Eyooooh
Ooh baby. My baby .
you look so pretty
Kila unacho fanya naonasawa
You so pretty
Ukienda uki rudi hi hi
you so prenty
Kila unafanya naona sawa
Mapenzi yako mi napagawa
Unavyo nipa kwa bade
unani fanyizia vile
Mwenzako mbona nita dead
mapenzi mbona kizee
Lala la laa 4x
KOLASI
kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu
Shera
Kwa. Penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu
Shera
Kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu.
Shera
Kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi waangu uuh
Shera
VERSE 2
Tume funga ndoa kwaumati ?
Mwezangu usije nichenga
Safari ya penzi tukianzia chumbani ?
Usimalize mapema
Haya mapenzi hayana mwishoo
Hii mpaka kiama
Mwenzako mimi navyo kutegemea
Usije nitenga.
Unavyo nipa kwa bade
unani fanyizia vile
Mwenzako mbona nita dead
mapenzi mbona kizee
Lala la laa 4x
KOLASI
kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu
Shera
Kwa. Penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu
Shera
Kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi wangu.
Shera
Kwa penzi lake.
Shera
Mpenzi waangu uuh
Shera