Alaaniwe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ni mara ngapi weeh una taka u umizwe
Ili ujuwe kwamba upendo umepoa
Ni mara ngapi unataka uambiwe
Ili ujuwe kwamba wana damu niwabaya
Una amani amini tu ata baada yakuvunjwa moyo ili kesho tena ujute jute kama jana
Nivituko ngapi wewe unataka uone
Ili ujuwe dunia haina wema
Bibilia inasema
Amutegemeaye mwana damu
Alaaniwe
Amutegemeaye mwana damu
Amufanye kinga yake Alaaniwe eh
Amufanye kuwa kinga yake
Alaaniwe eh
Moyoni mwake ama muacha bwana
Amufanyaye kinga yake Alaaniwe eh
Mwanadamu anaweza kuahidi kesho ana sahau, ni asili ya mwanadamu
Mara kwa mara uwa ana badilika
Anafurahi nawapo utafirisika
Anapenda atendewe mema
Hajali wengine
Nivituko ngapi wewe unataka uone
Ili ujuwe dunia haina wema
Bibilia inasema
Amutegemeaye mwana damu
Alaaniwe
Amufanye kinga yake
Alaaniwe
Amufanye kuwa kinga yake
Alaaniwe eh
Moyoni mwake ama muacha bwana
Amufanyaye kinga yake Alaaniwe
Nilifungua roho yangu kwa wanadamu kwa njia ya upendo
Waka ipondaponda waka ifinya finya waka ichana chana
Nilio fikiria kuwa ni ndugu
Wamenigeukia magugu
Nika amua tumaini langu nalitowa kwa wana damu
Tumaini langu nawe
Tuli weke kwa Mungu wetu
Yeye habadilikake
Yeye hawezi kuchoka
Amutegemeaye mwana damu
Alaaniwe
Amufanye kinga yake Alaaniwe
Kila asiye mtegemea Mungu
Alaaniwe amufanyaye kinga Yake
Alaaniwe
Kila asiye mtegemea baba
Alaaniwe
Amufanye kuwa kinga yake
Alaaniwe