![Haina Haja](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/01/b050a25fe45846ff9327625b53e634d9_464_464.jpg)
Haina Haja Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Haina Haja - Udede
...
……….,.
Uouo
Uwo uwo uwo uwo
Uwo uwo uwo uwowoww
Oleleeee
Alalala
Unanitumia meseji za kuniomba radhi
Aina haja
Mbn nlikuitaji wazi wazi
Aina hajaa
Yakuzituma kwangu za wazi
Haina haja
Aaah
Yaani mwaka mzima umeniacha peke yangu
Ukirudi unikute sindwele
Pigo hizo sina nilikuhitaji leo wala sio kale kamaringoo..
Naringa ndio nimepimaa